| Value |
Category |
| ALIHUDHURIA MSIBA |
|
| ALIKOSA KIBARUA CHA KUJENGA |
|
| ALIKUWA HARUSINI |
|
| ALIKUWA SAFARI |
|
| AMESAFIRI |
|
| ANASUBIRI MSIMU WA MVUA |
|
| BOTI LILIKUA BOVU. |
|
| HALI YA HEWA HAIKUWA RAFIKI KWA MAZINGIRA YA KAZI |
|
| Hakuna mvua |
|
| KAZI ZA UJENZI HAZIPATIKANI |
|
| KAZI ZIMEKUWA CHACHE |
|
| KUKOSA BIDHAA/ MALIGHAFI ZA BIASHARA |
|
| KUKOSA MTAJI |
|
| KUKOSEKANA KWA MTAJI |
|
| KUSAFIRI |
|
| MIMI NI FUNDI WELDER, SIJAPATA TENDA KWA MIEZI KADHAA. |
|
| Nafanya kazi Za nyumbani, kusaidia |
|
| Nilienda shamba kulima KWA ajili ya kupata chakula tu. |
|
| Nilifiwa |
|
| Nilikuwa KWENYE msiba |
|
| Nilisafiri LAKINI pia Sijapata tenda |
|
| SIKUPATA KAZI WIKI HII |
|
| SOKO LA MKAA LIMEHARIBIKA |
|
| Sijapata kazi /tender ya kwenda kufunga au kurekebisha AC |
|
| Sikupata kibarua |
|
| UKAME |
|
| UKOSEFU WA MALIGHAFI |
|
| UKOSEFU WA MVUA |
|
| Wateja wachache , FAIDA ndogo , nikaamua BORA nipumzike |
|
| ZIARA YA KIDINI (FII SABILI LLAH) |
|
| alikuwa kwenye msiba |
|
| anasubiria kazi ianze kazi yake anajihusha na uchimbaji mchanga |
|
| biashara imekua ngumu hazitoki nimeamua kupumzika |
|
| kulikuwepo na msiba |
|
| kusimamishwa kazi na kampuni |
|
| msiba wa kaka |
|
| safari |
|
| sina mtaji |
|
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.