NBS Official Website | Open Data Portal
Register | Login
National Bureau of Statistics emblem
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
National Bureau of Statistics
Tanzania National Data Archive (TNADA)
Official statistics and microdata for evidence-based development
National Bureau of Statistics logo
TNADA
  • Home
  • Microdata Catalog
    Home / Central Data Catalog / TZA-NBS-2020-V01 / variable [F3]
central

Integrated Labour Force Survey 2020-21

Tanzania, 2020 - 2021
Get Microdata
Reference ID
TZA-NBS-2020-v01
Producer(s)
NATIONAL BUREAU OF STATISTICS
Metadata
DDI/XML JSON
Study website
Created on
Jul 22, 2022
Last modified
Jul 16, 2024
Page views
331623
Downloads
307
  • Study Description
  • Data Dictionary
  • Downloads
  • Get Microdata
  • Data files
  • 2020-21_TUS_TZM
  • 2020_ILFS_DATA_TZM

Q50H. Name ISIC Small (Q50HISICS_NAME)

Data file: 2020_ILFS_DATA_TZM

Overview

Valid: 26111
Invalid: 0
Type: Discrete
Width: 255
Range: -
Format: character

Questions and instructions

Categories
Value Category Cases
Abiria wa usafiri wa treni 2
0%
Abiria wengine wa usafiri wa nchi kavu 87
0.3%
Aina nyengine ya elimu zisizotajwa 21
0.1%
Aina nyingine za utengenezaji ambavyo havijatajwa 29
0.1%
BADO NITAFANYA BAADAE 35
0.1%
Benki kuu 4
0%
Benki nyengine za kibiashara 36
0.1%
Biashara nyingine ya rejareja ya bidhaa mpya kwenye duka maalum 84
0.3%
Biashara ya rejareja ya dawa, vipodozi na vifaa vya usafi chooni kwenye duka maalum 58
0.2%
Biashara jumla ya aina nyingine ya mashine na vifaa 3
0%
Biashara jumla ya kompyuta na vifaa vyake 4
0%
Biashara jumla ya mashine za kilimo na vifaa vingine vya kilimo 4
0%
Biashara jumla ya nguo, mavazi na viatu 54
0.2%
Biashara jumla ya vifaa vingine vya nyumbani 6
0%
Biashara jumla ya vifaa vya nyumbani 12
0%
Biashara jumla ya vifaa vya umeme na mawasiliano 14
0.1%
Biashara nyengine za rejareja zinazouzwa kwenye magari yanayotembeza 10
0%
Biashara nyingine rejareja sio kwenye maduka, masoko au magengeni 813
3.1%
Biashara nyingine ya rejareja isiyo kwenye duka maalum 684
2.6%
Biashara ya rejareja ya makapeti na mazulia kwenye duka maalum 4
0%
Biashara ya jumla ya ada au mikataba 4
0%
Biashara ya jumla ya mabati 1
0%
Biashara ya jumla ya mafuta mazito, ya maji, gesi na vingine vya aina hiyo 13
0%
Biashara ya jumla ya malighafi za kilimo na wanyama hai 64
0.2%
Biashara ya jumla ya vifaa chakavu na vingine ambavyo havijatajwa hapo juu 8
0%
Biashara ya jumla ya vifaa vya ujenzi, mabomba na vifaa vya kuleta joto 17
0.1%
Biashara ya jumla ya vyakula, vinywaji na tumbaku 103
0.4%
Biashara ya rejareja ya nguo kwenye duka maalumu 121
0.5%
Biashara ya rejareja ya nguo, viatu na bidhaa za ngozi kwenye duka maalum 61
0.2%
Biashara ya rejareja ya vifaa vya umeme na samani 34
0.1%
Biashara ya rejareja ya vitabu, magazeti na vifaa vya steshenari kwenye duka maalum 21
0.1%
Biashara ya rejareja ya vyakula kwenye duka maalumu 383
1.5%
Biashara ya rejareja isiyo kwenye duka maalumu ya vyakula, vinywaji au tumbaku 617
2.4%
Biashara ya rejareja kupitia posta, kaya au mtandao 40
0.2%
Biashara ya rejareja maalumu ya kaseti za mziki na video 12
0%
Biashara ya rejareja vifaa vya muziki na kurekodia kwenye duka maalum 3
0%
Biashara ya rejareja ya mafuta ya vifaa vya usafiri kwenye duka maalumu 18
0.1%
Biashara ya rejareja ya tumbaku kwenye duka maalumu 2
0%
Biashara ya rejareja ya vifaa vya kuchezea watoto michezo kwenye duka maalum 1
0%
Biashara ya rejareja ya vifaa vya ujenzi, rangi na vioo kwenye duka maalum 32
0.1%
Biashara ya rejareja ya vinywaji kwenye duka maalumu 99
0.4%
Biashara ya rejareja ya vitambaa,nguo na viatu kwenye magari yanayotembeza 34
0.1%
Biashara ya rejareja ya vitu vilivyotumika/mitumba 112
0.4%
Biashara ya rejareja ya vyakula, vinywaji na tumbaku kwenye magari yanayotembeza 45
0.2%
Biashara ya rejereja ya kompyuta na vifaa vyake na vifaa vya mawasiliano 16
0.1%
Bidhaa mbalimbali zinazozalishwa kutokana na shughuli za kaya kwa matumizi ya kaya 44
0.2%
Bima isiyo ya maisha 1
0%
Bima ya maisha 1
0%
Elimu ya chekechea na msingi 262
1%
Elimu ya juu/vyuo vikuu 44
0.2%
Elimu ya sekondari mchanganyiko 142
0.5%
Elimu ya ufundi wa amali 1
0%
Huduma za vinywaji 110
0.4%
Huduma mbalimbali zizalishwazo kutokana na shughuli za kaya kwa matumizi ya kaya 259
1%
Huduma nyengine za shughuli za biashara zisizoainishwa 193
0.7%
Huduma nyengine za afya ya binaadamu 39
0.1%
Huduma nyengine za kijamii zisizohusiana na malazi 7
0%
Huduma nyengine za makaazi 3
0%
Huduma nyengine za rasilimali watu 7
0%
Huduma nyengine za usafishaji wa majengo na viwanda 13
0%
Huduma nyengine zinazohusiana na kuweka nafasi za malazi 2
0%
Huduma nyingine ya mikopo na ruzuku 6
0%
Huduma nyingine za habari ambazo hazijaelezewa 3
0%
Huduma nyingine za kifedha isipokuwa bima na pencheni ambazo hazijaelezwa 19
0.1%
Huduma nyingine za kukodi vyumba/malazi 43
0.2%
Huduma nyingine za teknologia ya habari na kompyuta 6
0%
Huduma nyingine za vyakula 244
0.9%
Huduma za hifadhi ya jamii (ZSSF, NSSF, PPF, n.k.) 2
0%
Huduma za afya katika makaazi ya wauguzi 3
0%
Huduma za dawa na matibabu ya meno 17
0.1%
Huduma za hospitali 141
0.5%
Huduma za kisheria 12
0%
Huduma za kusafirisha mizigo 30
0.1%
Huduma za migahawa na vyakula vya kutembeza 581
2.2%
Huduma za misitu (uwekaji safi ,kulinda, kudhibiti moto, majangili nk) 8
0%
Huduma za posta 3
0%
Huduma za uhasibu, ukaguzi wa fedha; ushauri wa kodi 24
0.1%
Huduma za usafishaji wa majengo (nyumba, ofisi, viwanda) 74
0.3%
Huduma zinazohusiana na upigaji chapa 3
0%
Huduma zinazohusiana na usafiri wa anga 4
0%
Huduma zinazohusiana na usafiri wa nchi kavu 49
0.2%
Huduma zinazohusianan na usafiri wa majini 2
0%
Kilimo cha mimea inayotengenezewa nyuzi (pamba, katani) 172
0.7%
Kilimo cha aina nyingine ya matunda na matunda pori 73
0.3%
Kilimo cha aina nyingine ya mazao yasiyo ya kudumu (mahindi, mtama, kunde.nk) 7873
30.2%
Kilimo cha matunda aina ya limau, machungwa, ndimu, n.k. 4
0%
Kilimo cha matunda ya tropikali kama; mapapai, maembe, mananasi, parachichi, n.k. 41
0.2%
Kilimo cha mazao mchanganyiko (kilimo na mifugo) 1925
7.4%
Kilimo cha mazao ya miti ya mafuta (minazi,mzaituni,) 48
0.2%
Kilimo cha mazao mengine ya kudumu(mpira) 72
0.3%
Kilimo cha mazao ya matunda ( apple, peas, plums) 3
0%
Kilimo cha mazao ya vinywaji ( kokoa, kahawa,majani ya chai) 96
0.4%
Kilimo cha mazao ya viungo, dawa( karafuu, pilipili manga, tangawizi, hiliki nk) 54
0.2%
Kilimo cha mboga na matikiti, mazao yatokanayo na mizizi 838
3.2%
Kilimo cha miwa 20
0.1%
Kilimo cha mpunga 1528
5.9%
Kilimo cha tumbaku 22
0.1%
Kilimo cha zabibu 7
0%
Kuandaa chakula 136
0.5%
Kuendesha picha za sinema, video na vipindi vya kwenye runinga 1
0%
Kuendesha picha za sinema, video na vipindi vya kwenye runinga vilivyorekodiwa 3
0%
Kufua,kuponda,kukunja na kuunganisha chuma 4
0%
Kufuma masweta na vitamba kwa kutumia sindano 4
0%
Kukata, kuchonga na kusanifu mawe 5
0%
Kukodi vyumba/malazi kwa muda mfupi 47
0.2%
Kukusanya, kutibu na kusambaza maji 30
0.1%
Kupanga vipindi vya kwenye runinga na utangazaji 2
0%
Kurekodi sauti na uchapishaji wa miziki 2
0%
Kusafirisha na kutunza mizigo 10
0%
Kusambaza picha za sinema, video na vipindi vya kwenye runinga 2
0%
Kushauri juu ya matumizi ya kompyuta 1
0%
Kuvuna, kukausha mazao 39
0.1%
Kuweka program kwenye kompyuta 4
0%
Maagizo kwa umma na shughuli za kiusalama 6
0%
Maghala na kuhifadhi 9
0%
Mahema na magari ya starehe 1
0%
Maji taka 1
0%
Malipo ya uzeeni/pensheni 1
0%
Matayarisho ya upandaji (vitalu) 6
0%
Matengenezo na ukarabati wa magari 57
0.2%
Matengenezo ya vifaa vingine 12
0%
Mawasiliano kwa njia nyingine 1
0%
Mawasiliano kwa njia ya satelite 3
0%
Mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi 29
0.1%
Shughuli binafsi za ulinzi 76
0.3%
Shughuli katika maeneo ya starehe 9
0%
Shughuli maalumu za ubunifu (viatu na nguo) 5
0%
Shughuli nyengine za bima na mifuko ya kijamii 2
0%
Shughuli nyengine za huduma binafsi zisizotajwa 116
0.4%
Shughuli nyengine za huduma za kifedha 30
0.1%
Shughuli nyengine za kijamii mbazo hazikutajwa 24
0.1%
Shughuli nyengine za michezo 4
0%
Shughuli nyengine za starehe ambazo hazijatajwa 4
0%
Shughuli nyingine maalumu za ujenzi 56
0.2%
Shughuli nyingine za kusaidia usafirishaji 15
0.1%
Shughuli nyingine za uchapishaji 3
0%
Shughuli za Kaya za kuajiri (mpishi,mfuaji,mtunza bustana na wafungua mageti) 339
1.3%
Shughuli za huduma za kiutawala katika ofisi (mapokezi, usafi, masjala) 12
0%
Shughuli za huduma za mifumo ya ulinzi 21
0.1%
Shughuli za huduma za uhifadhi ardhi na matengenezo yake (upandaji wa bustani) 10
0%
Shughuli za huduma za utawala wa umma 36
0.1%
Shughuli za jumuiya za kidini 34
0.1%
Shughuli za kibiashara na waajiri 25
0.1%
Shughuli za kukodisha au kumiliki mali isiyohamishika 16
0.1%
Shughuli za kukodisha mali isiyohamishika kwa malipo au mkataba 12
0%
Shughuli za kusaidia uchimbaji mwingine wa madini 15
0.1%
Shughuli za kusaidia uchimbaji wa mafuta na gesi (uchunguzi wa mafuta, kuchimba miamba) 2
0%
Shughuli za kutibu maji na huduma za usimamizi wa taka 1
0%
Shughuli za makampuni 7
0%
Shughuli za makao makuu 2
0%
Shughuli za makundi ya kitaaluma 4
0%
Shughuli za mazishi na nyengine zinazofanana nazo 1
0%
Shughuli za ofisi za kibalozi na mashirika ya kigeni/kimataifa 3
0%
Shughuli za saluni za kike na za kiume 208
0.8%
Shughuli za uchambuzi wa taarifa na zinazofanana nao 2
0%
Shughuli za ufuaji wa nguo na bidhaa za manyoya 23
0.1%
Shughuli za ufungaji wa bidhaa 6
0%
Shughuli za ulinzi wa nchi kwa jamii 94
0.4%
Shughuli za upigaji picha 5
0%
Shughuli za usanifu na uhandisi wa majengo na ushauri mwengine wa kitaalamu unaohusiana na hayo 9
0%
Shughuli za usimamizi wa kifedha 9
0%
Shughuli za utaalamu wa mifugo 10
0%
Shughuli za utoaji huduma mchanganyiko 60
0.2%
Shughuli za utoaji huduma za kitovuti 1
0%
Shughuli za uwakala wa ajira za muda mfupi 1
0%
Shughuli za uwakala wa ukusanyaji fedha, maoni na malalamiko 9
0%
Shughuli za vilabu vya michezo 2
0%
Shughuli za vyama vya siasa 3
0%
Shughuli za wakala wa bima 8
0%
Shughuli zinazosaidia elimu (ushauri nasaha) 10
0%
Shuguli za utoaji wa huduma za utalii ( usafiri, malazi na chakula) 22
0.1%
Shuguli za uwakala wa huduma za usafiri 3
0%
Taasisi za mifuko ya fedha 4
0%
Tathimini ya hatari na uharibifu 1
0%
Uandaaji wa vifaa vya kurikodi (CD) 1
0%
Uandaaji wa sehemu ya ujenzi 8
0%
Ubunifu ,sanaa na shughuli za burudani 22
0.1%
Uchapishaji wa magazeti na majarida 1
0%
Uchapishaji wa programu za kompyuta 2
0%
Uchapishaji wa vitabu 2
0%
Uchapishaji wa vitabu vyenye majina na anuani za simu 1
0%
Uchapishaji, Uaandaji wa nakala na shughuli nyengine maalumu za kusaidia ofisi 9
0%
Uchezaji wa kamari 5
0%
Uchimbaji mwingine wa madini yasiotajwa 90
0.3%
Uchimbaji wa aina nyingine ya madini ya chuma 6
0%
Uchimbaji wa chumvi 2
0%
Uchimbaji wa mawe, mchanga na kokoto 100
0.4%
Udalali wa mikataba ya ulinzi na bidhaa 4
0%
Uendeshaji wa huduma za michezo 7
0%
Ufugaji katika maji baridi (yasiyo ya chumvi) 3
0%
Ufugaji wa aina nyingine ya wanyama 40
0.2%
Ufugaji wa farasi na punda 3
0%
Ufugaji wa kuku 193
0.7%
Ufugaji wa ng'ombe na nyati 731
2.8%
Ufugaji wa nguruwe 34
0.1%
Ufugaji wa samaki baharini 1
0%
Ufumaji wa vitambaa 40
0.2%
Ufungaji mwingine wa vifaa vya ujenzi 6
0%
Ufungaji wa mitambo ya viwanda na vifaa 2
0%
Uhifadhi wa wanyama na mimea na kumbukumbu nyengine za asili 1
0%
Ujenzi wa barabara na reli 26
0.1%
Ujenzi wa majengo 557
2.1%
Ujenzi wa miradi mingine ya uhandisi(madaraja ,bandari na njia za reli) 3
0%
Ujenzi wa miradi ya umeme na maji 4
0%
Ukarabati mwengine wa huduma binafsi na bidhaa za kaya (baskeli na vifaa vya michezo) 1
0%
Ukarabati wa bidhaa za chuma 7
0%
Ukarabati wa kompyuta na vifaa vyengine 4
0%
Ukarabati wa mashine 4
0%
Ukarabati wa viatu (sio vipya) na bidhaa za ngozi 4
0%
Ukarabati wa vifaa vya kielectroniki na macho 4
0%
Ukarabati wa vifaa vya kieletroniki 6
0%
Ukarabati wa vifaa vya mawasiliano 1
0%
Ukarabati wa vifaa vya nyumbani na bustani 3
0%
Ukarabati wa vifaa vya samani vya nyumbani 2
0%
Ukarabati wa vifaa vya umeme 10
0%
Ukarabati wa vifaa vya usafiri, isipokuwa magari 7
0%
Ukodishaji wa kanda za vidio 9
0%
Ukusanyaji mazao ya misitu yasiyo ya mbao 48
0.2%
Ukusanyaji wa taka zenye madhara 3
0%
Ukusanyaji wa taka zisizo na madhara 9
0%
Umaliziaji nguo 89
0.3%
Umaliziaji wa majengo (finishing) 34
0.1%
Upandaji wa miti na shughuli nyingine za misitu 8
0%
Upangishaji na ukodishaji wa vifaa vya starehe na michezo 2
0%
Upangishaji na ukodishaji wa magari 2
0%
Upangishaji na ukodishaji wa aina nyengine za mashine , vifaa na bidhaa zinazogusika 1
0%
Upangishaji na ukodishaji wa vifaa vyengine vya kaya 1
0%
Upasuaji na upangaji mbao 49
0.2%
Upigaji chapa 1
0%
Urejeshaji taka hali ya mwanzo 2
0%
Usafiri kwa njia ya mabomba 1
0%
Usafiri wa abiria nchi kavu katika mijini na vijijini 553
2.1%
Usafiri wa abiria wa baharini 2
0%
Usafiri wa treni ya mizigo 1
0%
Usafirishaji wa abiria kwa njia ya anga 5
0%
Usafirishaji wa mizigo kwa njia ya anga 2
0%
Usafirishaji wa mizigo kwa njia ya bahari 16
0.1%
Usafirishaji wa mizigo kwa njia ya barabara 201
0.8%
Usambazaji wa mvuke na viyoyozi 3
0%
Ushauri wa shughuli za kiutawala 1
0%
Usimamiaji wa utoaji wa huduma za afya, elimu, huduma za jamii, isipokuwa za ulinzi wa jamii 9
0%
Usimamizi na ushiriki katika kuboresha shughuli za biashara 3
0%
Usindikaji na kuhifadhi wa samaki, wanyama wenye mgamba(kaa, kamba na uduvi) konokono 3
0%
Usindikaji na kuhifadhi matunda na mboga za majani 1
0%
Usindikaji na kuhifadhi nyama 2
0%
Usindikaji na utengenezaji wa mavazi kutokana na ngozi, utiaji rangi kwa mavazi yaliyotengenezwa kw 2
0%
Utaalamu mwingine wa kisayansi na kiufundi usiotajwa 12
0%
Utaalamu wa uchambuzi na upimaji 6
0%
Utafiti na uchunguzi wa maendeleo ya sayansi ya asili na uhandisi 3
0%
Utafiti na uchunguzi wa maendeleo ya sayansi ya kijamii na binaadamu 3
0%
Utafiti wa masoko na utowaji wa maoni kwa jamii(kisiasa na kiuchumi) 2
0%
Utangazaji redioni 1
0%
Utawala wa masoko ya kifedha 1
0%
Utayarishaji na usokotaji nyuzi za nguo 26
0.1%
Utayarishaji wa mbegu kabla ya kupanda (kukausha, kuziweka dawa,nk) 3
0%
Utayarishaji wa mifugo (kujenga banda, kuwapa dawa, malisho nk) 41
0.2%
Utayarishaji wa shamba (kufyeka, kusafisha, kutia dawa, kumwagilia maji nk) 58
0.2%
Utengenezaji vifaa vingine vya karatasi na karatasi ngumu 4
0%
Utengenezaji wa bidhaa nyingine za mpira 1
0%
Utengenezaji bidhaa nyingine za kemikali 2
0%
Utengenezaji bidhaa zinazotokana na maziwa 2
0%
Utengenezaji mitambo ya usindikaji vyakula, vinywaji na tumbaku 3
0%
Utengenezaji mwengine wa kielektroniki na kebo za umeme 2
0%
Utengenezaji vifaa vingine vya umeme 6
0%
Utengenezaji vifaa vya kielektroniki vya kutoa mwangaza na tiba 2
0%
Utengenezaji vifaa vya macho na kupiga picha 3
0%
Utengenezaji vyakula vilivyoandaliwa 3
0%
Utengenezaji wa masweta na mavazi yaliyofumwa kwa kutumia sindino 4
0%
Utengenezaji wa aina nyingine za pampu, kompresa, mabomba na valvu 7
0%
Utengenezaji wa baiskeli na vyombo vya uchukuzi kwa wasiojiweza 8
0%
Utengenezaji wa beringi, gia, na vifaa vya ubadilishaji wa gia za mashine 1
0%
Utengenezaji wa betri na vitunza umeme (pawa benki) 2
0%
Utengenezaji wa bidhaa nyengine zisizo za mabati ambazo hazijatajwa 3
0%
Utengenezaji wa bidhaa nyingine za chuma ambazo hazijatajwa (misumari, pini nk) 2
0%
Utengenezaji wa bidhaa nyingine za kauri na ufinyanzi 5
0%
Utengenezaji wa bidhaa nyingine za mbao, vifuniko vya gome, mabua na malighafi za kusukia 56
0.2%
Utengenezaji wa bidhaa nyingine za vyakula 14
0.1%
Utengenezaji wa bidhaa za mabati na chuma 28
0.1%
Utengenezaji wa bidhaa za mafuta ya petroli iliyosafishwa 2
0%
Utengenezaji wa bidhaa za mikate, keki, vileja nk 80
0.3%
Utengenezaji wa bidhaa za plastiki 32
0.1%
Utengenezaji wa bidhaa za tumbuku 1
0%
Utengenezaji wa bidhaa zinazotokana na nafaka 40
0.2%
Utengenezaji wa bidhaa zinazotokana uwanga 2
0%
Utengenezaji wa gesi; usambazaji wa nishati ya gesi kupitia bomba 1
0%
Utengenezaji wa hatua za awali za chuma 3
0%
Utengenezaji wa jengo la muda la shughuli za useremala 14
0.1%
Utengenezaji wa kakao, chokoleti na bidhaa za sukari 8
0%
Utengenezaji wa kamba zinazotumika melini, kamba zinginezo, nyuzi na nyavu 7
0%
Utengenezaji wa karatasi zenye mikunjo, karatasi ngumu na kasha la karatasi 1
0%
Utengenezaji wa kebo za umeme zinazosafirisha taarifa kwa mwanga 2
0%
Utengenezaji wa kompyuta na vifaa vyake (printa, projekta nk) 3
0%
Utengenezaji wa mabegi ya mizigo, mabegi ya mkononi na yanayofanana nayo, tandiko la farasi au punda 7
0%
Utengenezaji wa mabehewa ya treni za abiria na mizigo 1
0%
Utengenezaji wa mabodi ya magari, matela marefu na mafupi ya lori 2
0%
Utengenezaji wa madawa na vifaa vya matibabu ya meno 2
0%
Utengenezaji wa madawa ya binadamu, kemikali za kutibia na bidhaa za mimea 3
0%
Utengenezaji wa mafuta yanayotokana na mimea na wanyama 3
0%
Utengenezaji wa magari 84
0.3%
Utengenezaji wa majiko yanayostahimili joto la makaa ya mawe 1
0%
Utengenezaji wa mali ghafi za kujengea zitokanazo na udongo 41
0.2%
Utengenezaji wa mashine na injini za maji, mvuke, hewa na gesi; ispokuwa ndege, magari na injini za 5
0%
Utengenezaji wa mashine na vifaa vya ofisini (ispokuwa komputa na vifaa vyake) 1
0%
Utengenezaji wa mashine nyengine za matumizi ya jumla(kiyoyozi) 1
0%
Utengenezaji wa matairi na tyubu za magari na ukarabati wa tairi zilizotengenezwa kwa mpira 5
0%
Utengenezaji wa mavazi isipokuwa mavazi ya manyoya ya wanyama 82
0.3%
Utengenezaji wa mazulia 9
0%
Utengenezaji wa mitambo ya uzalishaji nguo, mavazi na ngozi 3
0%
Utengenezaji wa mota, jenereta, transfoma, na vifaa vyengine vya usambazaji umeme 2
0%
Utengenezaji wa nguo zinginezo ambazo hazijatajwa hapo juu 115
0.4%
Utengenezaji wa nyuzi 13
0%
Utengenezaji wa nyuzi za kutengenezea karatasi na karatasi ngumu 1
0%
Utengenezaji wa oveni, majiko ya kuchomea na kubanikia 2
0%
Utengenezaji wa plastiki na mpira kwa kutumia kemikali 1
0%
Utengenezaji wa pombe yenye kiwango kidongo cha ulevi 55
0.2%
Utengenezaji wa sabuni za kawaida na zenye dawa, dawa za kuoshea na kung'arisha, utengenezaji wa mar 14
0.1%
Utengenezaji wa samani 55
0.2%
Utengenezaji wa saruji, chokaa na plasta 9
0%
Utengenezaji wa spea na vifaa kwa ajili ya magari 4
0%
Utengenezaji wa sukari 3
0%
Utengenezaji wa tambi, chakula aina ya tambi na zinazofanana nazo 1
0%
Utengenezaji wa ubao safi mwembamba na vipande vya mbao kwa ajili ya kuunga mlango 28
0.1%
Utengenezaji wa viatu 18
0.1%
Utengenezaji wa vifaa na taa za umeme 4
0%
Utengenezaji wa vifaa vya kielektroniki ( kapasita, transfoma, modem) 2
0%
Utengenezaji wa vifaa vya kuchezea na vinyago 2
0%
Utengenezaji wa vifaa vya kuinulia na kubebea 1
0%
Utengenezaji wa vifaa vya kuunganisha nyaya kwenye mfumo wa umeme 4
0%
Utengenezaji wa vifaa vya matumizi ya kielektroniki (TV, Radio, hedfoni) 8
0%
Utengenezaji wa vifaa vya mawasiliano 11
0%
Utengenezaji wa vifaa vya umeme kwa matumizi ya nyumbani (feni, majagi ya maji, friza nk) 2
0%
Utengenezaji wa vinywaji baridi, maji ya kunywa na maji mengine ya chupa 20
0.1%
Utengenezaji wa vinywaji vikali vinavyotokana na mvuke, vilivyochujwa na vilivyochanganywa kutoka ai 13
0%
Utengenezaji wa vioo na bidhaa za vioo 6
0%
Utengenezaji wa vitambaa vya mapambo vilivyotengenezwa usijumuishe nguo 1
0%
Utengenezaji wa vito na vifaa vinavyohusiana navyo 1
0%
Utengenezaji wa vito vya michovyo na vifaa vinavyohusiana navyo 1
0%
Utengenezaji wa vitu vya saruji , zege na plasta 7
0%
Utengenezaji wa vyakula vya wanyama vilivyoandaliwa 1
0%
Utengenezaji wa vyombo vya maringi mawili 15
0.1%
Utengezaji wa rangi, vanishi na bidhaa za kungarishia , wino wa kupiga chapa na mastics 5
0%
Uundaji wa meli na vyombo vinavyoelea majini 1
0%
Uuzaji wa magari 7
0%
Uuzaji wa vifaa na vipuri vya magari 25
0.1%
Uuzaji, utengenezaji na ukarabati wa pikipiki na vifaa vinavyohusiana 28
0.1%
Uvunaji wa magogo 11
0%
Uvuvi katika maji baridi (mito,maziwa) 138
0.5%
Uvuvi wa baharini (samaki, chaza, pweza nk) 36
0.1%
Uwekaji/ufungaji wa mabomba, vifaa vya kutoa joto na baridi/viyoyozi 11
0%
Uwekaji/ufungaji wa vifaa vya umeme 27
0.1%
Uwindaji wa wanyama na huduma zinazolingana nazo 1
0%
Uyeyushaji wa bidhaa za chuma na mabati 5
0%
Uzalishaji wa nafaka (isipokuwa mpunga), mazao jamii ya kunde na mafuta yatokanayo na mbegu 613
2.3%
Uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa nguvu za umeme 39
0.1%
ufugaji wa mbuzi na kondoo 171
0.7%
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
National Bureau of Statistics emblem

National Bureau of Statistics

Statistics for Development

Tanzania National Data Archive (TNADA) provides access to study-level metadata and microdata documentation to support research, policy, planning and evidence-based decision-making.

Quick Links

  • Integrated Statistical Portal
  • Sustainable Develpment Goal
  • Geographic Information System

Contact NBS

64 Lusinde Road, Tambukareli, Dodoma, Tanzania
sg@nbs.go.tz
+255 26 2963822
© 2026 National Bureau of Statistics, United Republic of Tanzania. All rights reserved. Statistics for Development