Sign Up | Login
Login
  • Home
  • Microdata Catalog
    Home / Central Data Catalog / TZA_2017_HBS_V01_M / variable [V12]
central

Household Budget Survey 2017-2018

Tanzania, 2017 - 2018
Get Microdata
Reference ID
TZA_2017_HBS_v01_M
Producer(s)
National Bureau of Statistics
Metadata
DDI/XML JSON
Created on
Mar 04, 2022
Last modified
May 15, 2022
Page views
730131
Downloads
3743699
  • Study Description
  • Data Dictionary
  • Downloads
  • Get Microdata
  • Data files
  • HBS 2017-18
    _Final_Individual_Data
  • HBS 2017-18
    _Final_Poverty+Individual_Data
  • HBS_2017-18
    Consumption
    Aggregate and
    Poverty
    Analysis
    Variables
  • S10A1
  • S10B1
  • S10C1
  • S10D1
  • S10E1
  • S10F1
  • S10G1
  • S11A1
  • S12B1
  • S12C1
  • S12D_11
  • S12D_21
  • S12D_31
  • S12E1
  • S12F1
  • S12G_11
  • S12G_21
  • S13A1
  • S13B1
  • S14A1
  • S14B1
  • S14C1
  • S15A1
  • S15B1
  • S15C1
  • S15D1
  • S16A1
  • S16B1
  • S17A1
  • S17B1
  • S17Bo1
  • S17C1
  • S17D1
  • S17E1
  • S18A1
  • S18B1
  • S19A1
  • S19B1
  • S19C1
  • S19D1
  • S19E1
  • S20A1
  • S20B1
  • S20C1
  • S20D1
  • S20E1
  • S20F1
  • S20G1
  • S21A1
  • S21B1
  • S21C1
  • S21D1
  • S22A1
  • S22B1
  • S23_1
  • S24A1
  • S24B1
  • S25A1
  • S25B1
  • S26FoodConsumed1

10_OTH. Please specify the reason why yesterday was not a typical day? (TUS_10_OTH)

Data file: HBS 2017-18 _Final_Individual_Data

Overview

Valid: 368
Invalid: 0
Type: Discrete
Start: 189
End: 268
Width: 80
Range: -
Format: character

Questions and instructions

Literal question
Other (Specify)
Categories
Value Category Cases
##N/A## 7
1.9%
ALIKUWA BUSY NA UGENI WA WAZIRI MKUU 1
0.3%
Alikaa sana kwenye foleni na mvua kubwa ilinyesha kukawa na uhaba wa magari 1
0.3%
Alikua na shughuli nyingi sana za Kufanya. 1
0.3%
Alikuwa Safarini 1
0.3%
Alikuwa hajisikii vizuri kiafya 1
0.3%
Alikuwa na changamoto ya mawazo kwaajili ya chombo cha usafiri(bajaji) kukamatw 1
0.3%
Alikuwa safari 1
0.3%
Alikuwa safarini 1
0.3%
Alikwenda kulisha mifugo ( ng'ombe) baada ya mchungaji wa siku zote kutofika ka 1
0.3%
Anamatatizo Ya Akili 1
0.3%
HAPANA KWA SABABU MTOTO WANGU ALIKUWA ANAUMWA 1
0.3%
HAPANA KWASABABU ALIKOSA TREJTA LAKULIMIA 1
0.3%
Hakukuwa na riziki ya kujikimu 1
0.3%
Hakupokea kazi ya kufanya katika shughuli yake 1
0.3%
Hali Yangu kimawzo Haikus Nzuri Kufanya Kazi 1
0.3%
Hapa kwa sababu nilikuwa namuunguza mgonjwa 1
0.3%
Hapana Kwa Sababu sikuwa na kazi ya kuniingizia kipato 1
0.3%
Hapana Sababu biashara ilikuwa mbaya, Hakukuwa na wateja Wengi. 1
0.3%
Hapana hakuwa siku ya shule nilikwenda shambani 1
0.3%
Hapana kulikuwa na kazi nyingi 1
0.3%
Hapana kwa sababu ilikuwa ni siku ya kupiga picha zaidi NIDA 1
0.3%
Hapana kwa sababu niliamkia kibaruani badala ya Kupumzika 1
0.3%
Hapana kwa sababu nilikua na kesi mahakamani 1
0.3%
Hapana kwa sababu nilikuwa najisikia vibaya 1
0.3%
Hapana kwa sababu nilikuwa namuhudumia mgonjwa 1
0.3%
Hapana kwa sababu si kwenda shuleni darasa la NNE walikuwa wanafanya mitihani ya 1
0.3%
Hapana kwa sababu ya shughuli nyingi 1
0.3%
Hapana kwasababu nilienda omba kazi nikakosa 1
0.3%
Hapana kwasababu nilikua na njaa 1
0.3%
Hapana kwasababu nilikua sijala mchana 1
0.3%
Hapana kwasababu sikuingiza pato lolote kwenye hiyo mizunguko yangu 1
0.3%
Hapana kwasababu sikuwa na kazi yoyote ya kufanya nilikuwa kijiweni na marafiki 1
0.3%
Hapana sababu mambo mengi 1
0.3%
Hapana sababu mzee sana 1
0.3%
Hapana, kwa sababu nilikuwa na kazi nyingi. 1
0.3%
Hapana, Kwa Sababu nilikuwa na shughuli nyingi za kufanya 1
0.3%
Hapana, kwa sababu biashara yangu haikwenda vizuri, wateja hawakuwa wengi 1
0.3%
Hapana, kwa sababu ilikuwa siku ya ibada 1
0.3%
Hapana, kwa sababu ilikuwa siku ya kurudi nyumbani toka Ugenini. 1
0.3%
Hapana, kwa sababu ilikuwa siku ya michezo shuleni 1
0.3%
Hapana, kwa sababu nilikuwa na matatizo ya kifamilia 1
0.3%
Hapana, kwa sababu nipo mwali wa kujifungua/ maternity (kukaa ndani kwa siku 40) 1
0.3%
Hapana, sababu ilikuwa siku ya michezo shuleni. 1
0.3%
Hapana, sababu nimehitimu darasa la saba nasubiri kuingia kidato cha nne. 1
0.3%
Hapana, sababu sina ajira ya kueleweka 1
0.3%
Hapana,Kwa sababu nilikuwa nimepeleka mgonjwa hospitali 1
0.3%
Hapana,kwa sababu mkono ulikuwa unaniuma kidogo 1
0.3%
Hapana,kwa sababu ni siku ya kumwabudu Mungu 1
0.3%
Hayuko nyumbani yupo Shuleni hukohuko 1
0.3%
ILIKUWA SIKU MBAYA KWA SABABU MUME WAKE ANAUMWA 1
0.3%
ILIKUWA SIKU YA KAWAIDA 1
0.3%
Ilikua Siku ya kufunga shule 1
0.3%
Ilikuwa ni Jumapili nlikuwa kanisani 1
0.3%
Ilikuwa ni Siku ya kuabudu 1
0.3%
Ilikuwa siku ya mavuno 1
0.3%
Jana ilikuwa siku ya mnada hivyo nilikuwa safarini kufanya shopping. 1
0.3%
KWA SABABU SIKUHUDHURIA SHULE INGAWA ILIKUWA SIKU YA SHULE 1
0.3%
KWASABABU NILIKUWA NA KIKAO CHA KIJIJI HIVYO SIKUFANYA SHUGHURI NYINGINE ZA KILA 1
0.3%
Kazi haikwenda vizuri kwasababu sikua na wateja wengi 1
0.3%
Kazi nyingi za kusaidia wazazi 1
0.3%
Kufanya kazi kwa muda mrefu . 1
0.3%
Kujiandikisha kwenye vitambulisho vya Taifa 1
0.3%
Kulitoke msiba 1
0.3%
Kumwangalia mgonjwa 1
0.3%
Kuna mtu alimkwaza 1
0.3%
Kurudi shule bila kula 1
0.3%
Kutokuingiza kipato chochote 1
0.3%
Kutumia muda mwingi kutafuta kazi pasipo kupata 1
0.3%
Kuwa safarini 2
0.5%
Kwa Sababu nilikua nimechoka na safari ya juzi 1
0.3%
Kwa sababu alikua na mazungumzo na mdadisi wa takwimu 1
0.3%
Kwa sababu mwanangu anaumwa na nilikua namuuguza 1
0.3%
Kwa sababu nilichoka na shughuri za shamba. 1
0.3%
Kwa sababu nilienda kutambulishwa mkweni 1
0.3%
Kwa sababu nilikua sina hela ya chakula 1
0.3%
Kwa sababu nilikuwa na kazi ngumu sana 1
0.3%
Kwa sababu nilikuwa na kazi nyingi 1
0.3%
Kwa sababu nilikuwa nauguliwa na mjukuu wangu 1
0.3%
Kwa sababu nilipata wageni 1
0.3%
Kwa sababu nilitoka shuleni nikaenda kuchunga mbuzi 1
0.3%
Kwa sababu ya Mgonjwa 1
0.3%
Kwa sababu ya kuhudhuria maonyesho 1
0.3%
Kwa sababu ya mawazo ya kifamilia 1
0.3%
Kwa wiki hali ya kazi imekua ngumu kidogo ila vipindi vingine hua napata kazi ny 1
0.3%
Kwasababu nilikua nakazi siku nzima sikupata mda wa kupumzika 1
0.3%
Kwenda Cliniki ya wamama wajawazito 1
0.3%
MLEMAVU 1
0.3%
MZEE SANA 1
0.3%
Mama yangu alikuwa mgonjwa 3
0.8%
Mbaya kwasababu sikuingiza hela 1
0.3%
Mjukuu alikua mgonjwa 1
0.3%
Msiba 1
0.3%
Mtoto alikua anaumwa 1
0.3%
Mtoto alikuwa anaumwa 1
0.3%
Mud mwingi nilikuwa machungoni 1
0.3%
Mwanakaya hayupo kwenye kaya 1
0.3%
Mwanakaya hayupo kwenye kaya yupo shuleni 1
0.3%
Mwanakaya huyu amesafili kwa muda mrefu na hajaludi bado 1
0.3%
Mzee sana na mgonjwa 1
0.3%
NILIKUWA NA KAZI 1
0.3%
NILIKUWA NA SHUGHULI YA SHEREHE KWA NDUGU ZANGU 1
0.3%
NILIKUWA NA SHUGHULI ZA KILIMO 1
0.3%
NILIKUWA NA SHUGHULI ZAKUFANYA 1
0.3%
NILIKUWA NAFANYA KAZI 1
0.3%
NIMLEMAVU HANAGA SIKU YA KAWAIDA 1
0.3%
Namatatizo ya kifamilia 1
0.3%
Nauguza mama yangu 1
0.3%
Niko kwenye mapuziko nilizaa mapacha wawili 1
0.3%
Nilianza mfungo wa ramadhani 1
0.3%
Nilichoka saana 1
0.3%
Nilichoka sana 3
0.8%
Nilichoka sana kwa kufanya shughuli nyingi 1
0.3%
Nilienda kusalimia mngonjwa 1
0.3%
Nilienda mnadani kutembea 1
0.3%
Nilikua Namhudumia Mgonjwa 1
0.3%
Nilikua busy sana kazini mpaka usiku 1
0.3%
Nilikua na kazi nyingi 1
0.3%
Nilikua na kazi nyingi za kufanya 1
0.3%
Nilikua na matatizo yakifamilia 1
0.3%
Nilikua na mawazo sana kuliko kawaida 1
0.3%
Nilikua naumwa 1
0.3%
Nilikua nikimuhudumia mgonjwa 1
0.3%
Nilikua safarini 1
0.3%
Nilikua safarini kwenda ziwani kuvua 1
0.3%
Nilikuwa na kazinyingi 1
0.3%
Nilikuwa na mgonjwa 1
0.3%
Nilikuwa nyumbani nimekaa 1
0.3%
Nilikuwa kazini 1
0.3%
Nilikuwa mgonjwa 2
0.5%
Nilikuwa na kazi nyingi sana 1
0.3%
Nilikuwa na mgonjwa 1
0.3%
Nilikuwa na safari 1
0.3%
Nilikuwa na uchovu 1
0.3%
Nilikuwa najiskia uchovu. 1
0.3%
Nilikuwa namhudumia mgonjwa mke wangu na mtoto 1
0.3%
Nilikuwa nazungumza na mtakimwi 1
0.3%
Nilikuwa safarini 6
1.6%
Nilikuwa safarini kutembelea ndugu. 1
0.3%
Nilikuwa safarini kwa ajili ya kikao cha familia 1
0.3%
Nilikuwa safarini na hali ya mvua 1
0.3%
Nilikwenda kuwatembelea wagonjwa 1
0.3%
Nilimpeleka Mgonjwa Hospitali 1
0.3%
Nilishinda njaa 1
0.3%
Nilitoka safarini ndo nifikia kwenye kazi 1
0.3%
Nilitumia muda mrefu kujisajili kitambulisho cha utaifa 1
0.3%
Nilitumia muda mwingi kwa safari 2
0.5%
Nimeshindwa kufanyia shughuli Za kuniingizia kipato kutokana na kunyesha maua si 1
0.3%
Nlkiwa safarini 1
0.3%
Ratiba ya kazi ilibadilika 1
0.3%
SAFARI YA KWENDA TONGI SIKU IPENDA 1
0.3%
SIKUHUDHURIA SHULE 1
0.3%
SIKUHUDHURIA SHULE INGAWA ILIKUWA SIKU YA SHULE 2
0.5%
Sababu ilikuwa ni siku ya mapumnziko. 1
0.3%
Sababu ilikuwa siku ya mapumnzi sikupumnzika nikawa na kazi nyingi. 1
0.3%
Sababu biashara ilikuwa mbaya 1
0.3%
Sababu nilirudi nyumbani kwenye mahojiano 1
0.3%
Safarini 1
0.3%
Safarini na hali ya mvua 1
0.3%
Safirini/ nasafiri 1
0.3%
Sikufanya shughuli yoyote ya kuniingizia kipato 2
0.5%
Sikupata Mlo wa asubuhi na mchana 1
0.3%
Sikupata pesa yoyote ile 1
0.3%
Sikupata wateja wa kutosha hivyo siku yangu imeenda bure 1
0.3%
Sikuwa na shughuli ya kujipatia kipato 1
0.3%
Sikuwa na uhakika wa kupata chakula 1
0.3%
Sikwenda shule nilienda shambani 1
0.3%
Swaumu ilikuwa imebana 1
0.3%
Uandikishaji wa vitambulisho vya kitaifa 2
0.5%
Ukarabati wa nyumba 1
0.3%
Yupo safarini 1
0.3%
alikuwa safarini 1
0.3%
alipewa barua ya kuachishwa kazi 1
0.3%
amesafili /yuko safalini 1
0.3%
amesafiri 3
0.8%
amesafiri /mhojiwa hayupo 1
0.3%
biashara haikuwa nzuri 2
0.5%
haikuwa siku ya kawaida kwangu kwakuwa nilishinda nahudumia mgojwa 1
0.3%
haikuwa ya kawaida kwa sababu kulikuwa na mvua kubwa sana iliyoanza kunyesha ku 1
0.3%
haikuwa ya kawaida, kwasababu nlikuwa ugenini na nilienda huko kwasababu ya mata 1
0.3%
hakufanya kazi yoyote ile 1
0.3%
hakukuwa na wateja kazini 1
0.3%
hakuna ajira 1
0.3%
hakupata kazi nyingine za kufanya 1
0.3%
hapana Kwa sababu alikuwa na kazi ya utengenezaji wa banda la mifugo lililoangu 1
0.3%
hapana Kwa sababu nilipotelewa na mbuzi wangu 1
0.3%
hapana kwa sababu ya uchovu niliokua nao hadi sikuweza kwenda shamba 1
0.3%
hapana kwasababu nlikuwa nahudumia mgonjwa 1
0.3%
hapana kwasababu mtoto alikuwa mgonjwa 1
0.3%
hapana kwasababu nilimpeleka mgonjwa hospital 1
0.3%
hapana nilikuwa na mgonjwa 1
0.3%
hapana sababu nilikuwa na muhudumia mgonjwa 1
0.3%
hapana, kwa sababu sikuwa na kazi/ajira 1
0.3%
huwa anasumbuliwa na magonjwa na ni mzee sana 1
0.3%
ilikua ni siku ya kazi 1
0.3%
ilikuwa siku ya kusali 1
0.3%
ilikuwa siku ya semina kanisani 1
0.3%
jua ilikua kali sana wakati wa malisho 1
0.3%
kazi ya kujenga banda la mbuzi 1
0.3%
kifatilia hati miliki 1
0.3%
kilio 1
0.3%
kilioni 1
0.3%
kuchoshwa na safari 1
0.3%
kufyatua matofali 1
0.3%
kuhuzulishule 1
0.3%
kujenga Banda la mbuzi 1
0.3%
kulikuwa na mkutano wa shule ambapo nilipoteza muda wa kufanya kazi! 1
0.3%
kulikuwa na mvua kubwa sana iliyoanza kunyesha kuanzia asubuhi mpaka jioni 1
0.3%
kulima shambani 1
0.3%
kupoteza ngombe 1
0.3%
kusafiri 3
0.8%
kushinda njaa 1
0.3%
kuuguza mgonjwa 1
0.3%
kuumwa macho 1
0.3%
kwa Sababu sikwenda kazini ili nifanye ukarabati wa nyumba yangu! 1
0.3%
kwa sababu mtoto alikuwa anaumwa 1
0.3%
kwa sababu ni ramadhani 1
0.3%
kwa sababu nilifanya kazi ya kukata mianzi na kubeba mianzi 1
0.3%
kwa sababu nilipatwa na msiba 1
0.3%
kwa sababu nimefiwa 1
0.3%
kwa sababu sikufanikiwa kutimiza malengo yangu ya siku 1
0.3%
kwasababu ni ramadhani 1
0.3%
kwasababu nilichoka sana 1
0.3%
kwasababu nilikuwa shambani 1
0.3%
kwasababu sikuwa na shughuli yakufanya 1
0.3%
kwenda kazini 1
0.3%
kwenda kuchunga 1
0.3%
mama alikuwa mgonjwa 1
0.3%
matatizo ya kifamilia na majirani 1
0.3%
mawazo 1
0.3%
mdogo 1
0.3%
mizunguko mingi 1
0.3%
mke wangu anaumwa amelazwa 1
0.3%
mke wangu hayupo 1
0.3%
mtoto alikua anajisika vibaya 1
0.3%
mtoto alikuwa mgonjwa 1
0.3%
mtoto mgonjwa 1
0.3%
mtoto wangu alikuwa anaumwa 1
0.3%
muda mwingi nilitumia kwenye kituo cha kupiga picha ya kitambulisho cha uraia 1
0.3%
muhojiwa amesafiri 3
0.8%
mume wake alikuwa anaumwa 1
0.3%
mvua 2
0.5%
mvua nyingi imeongeza baridi 1
0.3%
mwanakaya amesafiri 1
0.3%
mwanangu aliumwa 1
0.3%
mwili mifupa kuuma 1
0.3%
mzee 2
0.5%
mzee sana 1
0.3%
namuguza mama nyumbani 1
0.3%
ndio 1
0.3%
ni kutokana na mwanangu kutorudi nyumbani situ sanga ingawa kazoea baadhi ya Si 1
0.3%
ni mdogo sana, hawezi kujieleza 1
0.3%
niliadhibiwa na mwalimu kwa sababu nilifeli jaribio la sayansi 1
0.3%
nilianza mfungo wa Ramadhani 2
0.5%
nilichoka 1
0.3%
nilichoka sana 2
0.5%
nilichoka sana kutafuta nguruwe 1
0.3%
nilienda Shambani kulinda ndege wasile mpunga badala ya Kwenda kanisani 1
0.3%
nilienda hospitali kuchukua dawA za bibi 1
0.3%
nilienda kukagua mazingira 1
0.3%
nilifanya kazi nzito kwa hiyo nilichoka sana 1
0.3%
nilifikiwa na mgeni 1
0.3%
nilikaa muda mrefu kituoni kusubiri mwendokasi 1
0.3%
nilikua baharini navua kwa siku ya tatu mfululizo 1
0.3%
nilikua bize sana na kazi shambani 1
0.3%
nilikua na kazi nyingi za shamba 1
0.3%
nilikua na mawazo juu ya mgonjwa 1
0.3%
nilikua na mawazo mengi na hasira sana 1
0.3%
nilikua na mgonjwa 2
0.5%
nilikua namgonjwa 1
0.3%
nilikua namuhudumia mgonjwa mume wangu 1
0.3%
nilikua nimechoka sana 1
0.3%
nilikua safarini 3
0.8%
nilikula Milo pungufu 1
0.3%
nilikuwa Nina mgonjwa 1
0.3%
nilikuwa ghoulish nyingi 1
0.3%
nilikuwa hospital na mgonjwa 1
0.3%
nilikuwa na kazi maalum ya ukandarasi 1
0.3%
nilikuwa na kazi nyingi na kubwa ya kufanya hasa kutembea 1
0.3%
nilikuwa na mgonjwa 3
0.8%
nilikuwa na shughuli nyingi za kufanya 1
0.3%
nilikuwa nahudumia gonjwa 1
0.3%
nilikuwa nahudumia mgonjwa 1
0.3%
nilikuwa nahudumia wagonjwa muwa mwingi 1
0.3%
nilikuwa namhudumia mgonjwa 1
0.3%
nilikuwa namkubuka mme wangu aliyefaliki 1
0.3%
nilikuwa namsaidia mgonjwa kumpeleka hosipitalini 1
0.3%
nilikuwa nauguza mgonjwa 1
0.3%
nilikuwa naumwa 2
0.5%
nilikuwa nimealikwa na jirani kwenda nyumbani kwake kujumuika na wageni waliokuw 1
0.3%
nilikuwa nje ya kaya kwa zaidi ya saa 8 1
0.3%
nilikuwa off 1
0.3%
nilikuwa safarini 1
0.3%
nilikuwa safarini kurudi nyumbani 1
0.3%
nilikwenda kumjulia hali Mgonjwa 1
0.3%
nilipoteza nyaraka na hati ya nyumba 1
0.3%
nirikua na kazi nyingi za kufanya 2
0.5%
nlichoka sana 1
0.3%
sababu nilichoka sana kwa ajili ya kubeba miti kule shamba 1
0.3%
sababu nilikuwa shamba nafanya kazi 1
0.3%
safarini 1
0.3%
shughuli nyingi 1
0.3%
shughuli nyingi za kufanya 1
0.3%
siku ya kazi 1
0.3%
siku ya mnada 2
0.5%
sikua na kazi ya kufanya 1
0.3%
sikua na kazi zakufanya 1
0.3%
sikua natatizo 1
0.3%
sikufanya shughuli yoyote ya kuniingizia kipato 1
0.3%
sikuhudhuria shule,nilienda kuchunga 1
0.3%
sikuhudhuria shuleni 2
0.5%
sikupata mlo wa usiku 1
0.3%
sikuwa na kazi ya kufanya 1
0.3%
sikwenda shule 1
0.3%
sikwenda shambani 1
0.3%
sikwenda shule 3
0.8%
sio kila siku naenda Bank 1
0.3%
tulikuwa na msiba jirani na mgonjwa 1
0.3%
ujauzito 1
0.3%
usiku kulikuwa na mtu anasumbua kugongewa mlango 1
0.3%
vitafunwa havijauzika sana 1
0.3%
waliohitaji huduma hawakuwa Wengi Hivyo kazi/Biashara ilikuwa ngumu 1
0.3%
watoto wangu walikuwa wanaumwa 1
0.3%
yuko safarini 2
0.5%
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
NBS Microdata Catalog

© NBS Microdata Catalog, All Rights Reserved.