Sign Up | Login
Login
  • Home
  • Microdata Catalog
    Home / Central Data Catalog / TZA_2017_HBS_V01_M / variable [F3]
central

Household Budget Survey 2017-2018

Tanzania, 2017 - 2018
Get Microdata
Reference ID
TZA_2017_HBS_v01_M
Producer(s)
National Bureau of Statistics
Metadata
DDI/XML JSON
Created on
Mar 04, 2022
Last modified
May 15, 2022
Page views
744077
Downloads
3743801
  • Study Description
  • Data Dictionary
  • Downloads
  • Get Microdata
  • Data files
  • HBS 2017-18
    _Final_Individual_Data
  • HBS 2017-18
    _Final_Poverty+Individual_Data
  • HBS_2017-18
    Consumption
    Aggregate and
    Poverty
    Analysis
    Variables
  • S10A1
  • S10B1
  • S10C1
  • S10D1
  • S10E1
  • S10F1
  • S10G1
  • S11A1
  • S12B1
  • S12C1
  • S12D_11
  • S12D_21
  • S12D_31
  • S12E1
  • S12F1
  • S12G_11
  • S12G_21
  • S13A1
  • S13B1
  • S14A1
  • S14B1
  • S14C1
  • S15A1
  • S15B1
  • S15C1
  • S15D1
  • S16A1
  • S16B1
  • S17A1
  • S17B1
  • S17Bo1
  • S17C1
  • S17D1
  • S17E1
  • S18A1
  • S18B1
  • S19A1
  • S19B1
  • S19C1
  • S19D1
  • S19E1
  • S20A1
  • S20B1
  • S20C1
  • S20D1
  • S20E1
  • S20F1
  • S20G1
  • S21A1
  • S21B1
  • S21C1
  • S21D1
  • S22A1
  • S22B1
  • S23_1
  • S24A1
  • S24B1
  • S25A1
  • S25B1
  • S26FoodConsumed1

5.2_OS. Please specify the other reason (S5_2_OS)

Data file: HBS_2017-18 Consumption Aggregate and Poverty Analysis Variables

Overview

Valid: 235
Type: Discrete
Start: 5136
End: 5255
Width: 120
Range: -
Format: character

Questions and instructions

Literal question
Section 5: Education
Why did [NAME] never attend school? Other (Specify)
Categories
Value Category Cases
##N/A## 2
0.9%
ALIKATAA SHULE 1
0.4%
ALIKUA MKUBWA SANA 1
0.4%
ALIKUWA ANAUMWA 1
0.4%
ALIKUWA ANAUMWA MARA KWA MARA 1
0.4%
AliKua mlezi wa mama yake alipokua anaumwa mpaka alipo watoka 1
0.4%
Alichelewa kuingia shule 1
0.4%
Aliishia njiani 1
0.4%
Alijifunza kusoma akiwa mkubwa 1
0.4%
Alikata yeye mwenye alitaka Kwenda Kusoma madrasa tu 1
0.4%
Alikataa Shule,Aliacha akiwa amefika Darasa la Tatu 1
0.4%
Alikataa mwenyewe kusoma 1
0.4%
Alikataa shule 1
0.4%
Alikimbia kusoma shule ila ilikuwepo 1
0.4%
Alikuwa Yatima 1
0.4%
Alikuwa anachunga ng'ombe wa nyumbani 1
0.4%
Alikuwa analima nyumbani 1
0.4%
Alikuwa anasaidia Kazi Za shamba 1
0.4%
Alikuwa anasumbuliwa na mangojwa utotoni mwake 1
0.4%
Alikuwa mchunga ng'ombe 1
0.4%
Alikuwa mtoto yatima 1
0.4%
Aliolewa akiwa moto 1
0.4%
Aliumwa aka shindwakusoma 1
0.4%
Amekataa kwenda shule 1
0.4%
Ameoa 1
0.4%
Ana matatizo ya kusikia masikio hayasikii vizuri 1
0.4%
Anasema alipelekwa shule alikua haoni 1
0.4%
Anasema hakukua na shule 1
0.4%
Baba alikuwa hasomeshi watoto wa kike. 1
0.4%
Baba alinipeleka Madrasa badala ya shule 1
0.4%
HAKUPELEKWA SHULE 2
0.9%
HALI YA MAISHA / MATATIZO YA KIUCHUMI 1
0.4%
Hafahamu 1
0.4%
Hajaandikishwa 1
0.4%
Hajapelekwa shule kwasababu wazazi walifariki akaachwa Akikwa mdogo na akakosa wa kumpeleka shule 1
0.4%
Hajui 2
0.9%
Hakuandikishwa shule 1
0.4%
Hakukuwa na Shule 1
0.4%
Hakukuwa na haja 1
0.4%
Hakukuwa na muamko wa shule 1
0.4%
Hakukuwa na muwamko wa elimu 1
0.4%
Hakuna Umuhimu yeye Mwenyewe 1
0.4%
Hakuona haja 1
0.4%
Hakupelekwa 1
0.4%
Hakupelekwa shule 1
0.4%
Hakupelekwa shule na wazazi wake 1
0.4%
Hakupenda shule 1
0.4%
Hakupewa nafasi na Wazazi wake 1
0.4%
Hakusoma tu 1
0.4%
Hakutaka 1
0.4%
Hakuwahi kupelekwa shule 1
0.4%
Haoni umuhimu 1
0.4%
Hapendi 1
0.4%
Hukukua na shule enzi Zao 1
0.4%
Ilikua nice vigumu kwenda shule kwasababu ya wakoloni 1
0.4%
Ilikuwa zamani sana,elimu hawakuionea umuhimu 1
0.4%
Imani za kimila kuwa watoto wa kike hawasomi wanasoma wa kiume tu 1
0.4%
KUCHUNGA NG'OMBE 2
0.9%
KUTOKANA NA KIFO CHA WAZAZI WANGU 1
0.4%
KWASABABU MAMA ALIKUA MLEMAVU 1
0.4%
Kuchunga Ng'ombe 1
0.4%
Kuchunga Ngombe 1
0.4%
Kuchunga mifugo 1
0.4%
Kuchunga ng'ombe,mbuzi 1
0.4%
Kufariki Kwa Baba na hali ngumu ya uchumi wa kaya 1
0.4%
Kufariki kwa wazazi wake naye kupelekea kulelewa na wabaki nakufanywa mfanyakazi wa ndzni 1
0.4%
Kukosa mtu wa kumsomesha 1
0.4%
Kukosa sare ya shule. 1
0.4%
Kulikuwa na elimu ya watu wazima 1
0.4%
Kutengana kwa wazazi 1
0.4%
Kutoelewana nyumbani kikangali mdogo sana 1
0.4%
Kutokuwa na mlezi mmoja. 1
0.4%
MCHUNGAJI WA MIFUGO 1
0.4%
Maisha Magumu 1
0.4%
Majukumu ya kifamilia 1
0.4%
Mama yake alifariki akaachiwa jukumuu la Kulea wadogo zake ndo maana hakusoma 1
0.4%
Mchungaji wa ng'ombe 1
0.4%
Migongano ya familia 1
0.4%
Mtoto Alikuwa Anakimbia Shule 1
0.4%
Mtoto wa kike hapaswi kusoma 1
0.4%
Mzazi aliyetakiwa kumsomesha alifariki akina bado mdogo 1
0.4%
Mzee 2
0.9%
Mzee kwa sasa 1
0.4%
Mzee sana 2
0.9%
NILIKUWA NA CHUNGA 1
0.4%
NILIKUWA MLEZI WA WATOTO NYUMBANI 1
0.4%
Nafasi za kusoma kipindi cha utawala wa wakoloni zilikuwa chache sana 1
0.4%
Ndugu walimzuia kwenda shule ili achunge mifugo 1
0.4%
Ni ,utokana a hali ya kiumaskini/ maisha 1
0.4%
Ni Mzee sana 1
0.4%
Ni mzee wa zamani 1
0.4%
Nilikuwa na wazazi nikingali mdogo sana 1
0.4%
Sababu hawakutaka kumpeleka shule. 1
0.4%
Sababu ya mzazi wake kufa 1
0.4%
Shule hazikuwepo 1
0.4%
Shule ilikuwa mbali na wanapoishi 1
0.4%
Shule ilikuwa mbali sana 1
0.4%
Shule zilikua chache sana na mbali 1
0.4%
Shule zilikua hazijaanza 1
0.4%
Shule zilikuwa chache kipindi hicho. 1
0.4%
Sikuona umuhimu wa kusoma 1
0.4%
Sikusomeshwa. 1
0.4%
Tulikuwa tunawinda 1
0.4%
Uhimizaji haukuwepo 1
0.4%
Uzembe 1
0.4%
Uzembe wangu mwenyewe 1
0.4%
WAZAZI WALIKAA KUMPELEKA SHULENI 1
0.4%
WAZAZI AWAKUMPELEKAGA SHULE 1
0.4%
WAZAZI WAKE HAWAKUONA UMUHIMU WA ELIMU 1
0.4%
WAZAZI WAKE WALIFARIKI KABLA HAJAANZA SHULE 1
0.4%
WAZAZI WALIONA SHULE HAINA ANUFAA 1
0.4%
WAZAZI WALISCHANA IKAWASHIDA KWENDA SHULE 1
0.4%
Wazazi Hawakunipeleka 1
0.4%
Wazazi hawakunipeleka shule 1
0.4%
Wazazi hawakuona umuhimu wa shule 1
0.4%
Wazazi hawakuweza kumudu gharama za shule 1
0.4%
Wazazi hawakuweza kuwapeleka shule 1
0.4%
Wazazi kuhamahama 1
0.4%
Wazazi wake hawakumwandikisha shule 1
0.4%
Wazazi wake walihusisha Elimu ya Kikoloni kama ya Kikristo, hawakupenda mtoto wao apate Elimu hiyo. 1
0.4%
Wazazi walifariki 1
0.4%
Wazazi walifariki walezi hawakumpeleka shule 1
0.4%
Wazazi walimwambia achunge mifugo 1
0.4%
Wazazi walinichelewa kunipeleka shule 1
0.4%
Wazazi wamefariki akiwa mdogo sana 1
0.4%
Zamani hapakuwa na shule 1
0.4%
aliacha shule akiwa la tano 1
0.4%
alichelewa kuanza shule 1
0.4%
alihachishwa shule 1
0.4%
alikataa 1
0.4%
alikataa kusoma 1
0.4%
alikataa shule 1
0.4%
alikosa wakumsomesha 1
0.4%
alikuwa Anaka mbali na shule mashambani 1
0.4%
alionekana mkubwa sana 1
0.4%
alipokua mdogo alipatwa na ugonjwa ulio mfanya ashindwe kwenda shule 1
0.4%
alizaliwa peke yake halafu wazazi wake walikuwa na imani kwamba akisoma ataenda ulaya hivyo hawatapata mtu wa kuishi nao 1
0.4%
amemaliza 1
0.4%
baba alifariki hakuna wakumpeleka shule 1
0.4%
baba alimfanya mchungi wa mifugo yake 1
0.4%
elimu ilikua bado haijaanza kutiliwa mkazo 1
0.4%
enzi hzo babaye hakumpeleka shule 1
0.4%
gharama za maisha 1
0.4%
hajapelekwa shule 1
0.4%
hajawahi 1
0.4%
hajui 1
0.4%
hakukua na umuhimu wa elimu ya kawaida 1
0.4%
hakukuwa nawakumsomesha 1
0.4%
hakuna umuhimu 1
0.4%
hakuna haja 1
0.4%
hakuna haja. 1
0.4%
hakuna sababu yoyote 1
0.4%
hakuna umuhimu 1
0.4%
hakuna umuhimu na ziilikua chache sana 1
0.4%
hakuna wa kumsomesha 1
0.4%
hakuona umuhimu 2
0.9%
hakuona umuhimu wa shule 1
0.4%
hakupata mt wa kumsomesha 1
0.4%
hakupata nafasi ya kusoma shule 1
0.4%
hakupelekwa shule 1
0.4%
hakupelekwa shule 3
1.3%
hakupelekwa shule wakipelekwa kaka zake 1
0.4%
hakupenda kusoma 1
0.4%
hakuwa na mtu wa kumsomesha 1
0.4%
hakuwa na ada 1
0.4%
hakuwai kutokana na ugumu wa maisha 1
0.4%
hapakua na shule kipindi ile 1
0.4%
hapakuwa na shule karibu kipindi hicho 1
0.4%
hawakuona umuhimu 1
0.4%
hawakuona umuhimu wa elimu 1
0.4%
ilikua zamani sana wazazi hawana muamko wa shule 1
0.4%
imani potofu za kidini 1
0.4%
kipindi cha miaka hivyo ya 1940 eliminates h 1
0.4%
kuchunga 2
0.9%
kuchunga ng'ombe 3
1.3%
kufiwa na mama 1
0.4%
kufiwa na wazazi 1
0.4%
kuhama 1
0.4%
kuhamahama kwa wazazi sehemu moja kwenda nyingine 1
0.4%
kulikuwa hakuna shule 1
0.4%
kumlea mtoto 1
0.4%
matatizo yakifamilia 1
0.4%
mhojiwa hakusoma shule kwa sababu alikuwa anachunga 1
0.4%
migogoro ya familia 1
0.4%
mtoto wa kike Hafai kusomeshwa shule wazazi wake walisema hvyo 1
0.4%
mzazi walikosa uwezo wa kumpeleka shule 1
0.4%
mzee sana 4
1.7%
mzee wa zamani 1
0.4%
ni mzee sana 1
0.4%
nilikatazwa kwenda shuleni 1
0.4%
sababu za kifamilia 1
0.4%
shidaa ya kipato 1
0.4%
shule ilikuwa mbali 1
0.4%
shule zilikuwa chache 1
0.4%
sikua na mzazi wa kunisomesha 1
0.4%
sikupelekwa kipindi hicho 1
0.4%
umri mkubwa 1
0.4%
uvivu na kutopenda shule 1
0.4%
uzembe 1
0.4%
uzembe wa wazazi wake 1
0.4%
wazazi hawakunipeleka 1
0.4%
wazazi hawakumpeleka shule 2
0.9%
wazazi hawakumpeleka shule kipindi hicho, na pia shule haikuwepo katika kijiji chao kwa wakati huo wa zama zao 1
0.4%
wazazi hawakunipeleka 1
0.4%
wazazi hawakuwa na uwezo wa kumpeleka shule 1
0.4%
wazazi hawakuwa na uwezo wa kumsomesha 1
0.4%
wazazi wake hawakumpeleka shule 2
0.9%
wazazi wake walifariki akiwa bado mdogo hivyo basi alikosa mtu wa kumsimamia na kumuendeleza 1
0.4%
wazazi wake walifariki hivyo alikuwa hana mtu wa kumlipia karo 1
0.4%
wazazi wake walikufa angali mdogo sana, hivyo hakupata nafasi ya kusoma kwakua alikua akihamahama sehemu za kuishi 1
0.4%
wazazi walifariki walezi hawakumpeleka shule 1
0.4%
wazazi walifariki akiwa2mdogo 1
0.4%
wazazi walifariki pindi akiwa mdogo 1
0.4%
wazazi walikuwa ni watu wa kuhama hama 1
0.4%
wazazi walushindwa kunisomesha 1
0.4%
wazazi wamekataa 1
0.4%
wazee wake awakumpeleka shuleni 1
0.4%
yeye mwenyewe hakuona umuhimu wa shule 1
0.4%
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
NBS Microdata Catalog

© NBS Microdata Catalog, All Rights Reserved.